JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Nyosso Bado Yupo Mikononi Mwa Polisi Kagera

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Agustine Ollomi, amesema hali ya majeruhi anaye fahamika kwa jina la Shabani Hussein, aliyedaiwa kupigwa hadi kuzirai na beki wa Klabu ya Kagera Sugar, Juma Nyoso, bado ni mbaya na yupo mikononi mwa madaktari…

LIGI YA WANAWAKE KUANZA FEBRUARI 24

Ligi ya Wanawake ya Serengeti Premier Lite hatua ya nane bora inatarajia kuanza kutimua vumbi Februari 24, 2018 kwenye viwanja vine. Mchezo kati ya Kigoma FC na Simba Queens utakaochezwa kwenye uwanja wa Lake Tanganyika ndio utakuwa mchezo rasmi wa…

CAF Kuzikagua Simba, Yanga Miundombinu Yao

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF litafanya ukaguzi wa mfumo wa leseni kwa vilabu vya ligi kuu hapa nchini(Club Licencing) kwenye upande wa miundo mbinu. CAF watafanya ukaguzi huo wa kutembelea na kutazama miundo mbinu ili kuhakikisha mfumo…

POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE

Power on Fitness Gym iliyopo Mwenge, kinondoni, Jijini Dar es salaam imeandaa siku maalumu kwa ajili ya kujumuika pamoja, kufanya mazoezi na kuukaribisha mwaka mpya wa 2018. Shughuli hiyo itafanyika siku ya jumamosi January 27,2018 katika viwanja vya posta vilivyopo…

Juma Nyosso Akamatwa na Polisi

Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limethibitisha kumshikilia mlinzi wa Kagera Sugar Juma Said Nyosso kwa kosa la kumpiga shabiki anayeaminika kuwa ni wa Simba baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba uliopigwa mjini Bukoba. Tukio hilo limetokea baada…

MTWAREFA YAOMBA RADHI WADAU WA SOKA-MTWARA.

Kutokana  na Kamati ya Maadili Kuwakuta na Hatia Viongozi wawili Wa Shirikisho la Soka TFF akiwemo Msimamizi wa  Mchezo Mkoa wa Mtwara Dastan Mkundi pamoja na katibu Mku wa Chama Hicho Mkoa wa Mtwara Kizito Mbano Mwenyekiti wa soko Mkoa…