JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

MCHEZA TENISI, MUGURUZA ATINGA NUSU FAINALI YA MICHUANO YA DUBAI

Mchezaji Tenisi Garbine Muguruza amefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Dubai baada ya kumshinda Caroline Garcia katika mchezo wa wa pili war obo fainali na kutinga Nusu fainali ya Dubai. Muguruza alifuzu hatua robo fainali baada ya…

ARSENAL YACHEZEA KICHAPO NYUMBANI

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa kikosi chake kilijivuta sana na kunusurika dhidi ya klabu ya Sweden Ostersunds FK, hivyobasi kufuzu katika raundi ya timu 16 bora katika kombe la ligi ya Yuropa. Arsenal ilishinda awamu ya kwanza 3-0,…

DE GEA AWANUSURU MANCHESTER UNITED KUPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA SEVILLA

Mlindalango wa Manchester United David de Gea alifanya kazi ya ziada kuzuia makombora ya wapinzani wao Sevilla Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya mechi ya hatua ya 16 bora na kuwasaidia kutoka sare Jumatano. Kipa huyo Mhispania aliwazuia Joaquin Correa na…

Ligi ya Bundesliga kubadilishwa

Berlin, Germany Mchezaji wa zamani wa klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani, Stefan Effenberg, amesema kuna haja ya mfumo wa ligi ya nchi hiyo kufanyiwa marekebisho kwa manufaa ya klabu na timu ya taifa ya nchi hiyo. Amesema ligi ya nchi hiyo…

FULL TIME MWADUI FC VS SIMBA SC(2-2)

Refa anapuliza filimbi kuanshilia mtanange unaanza na Mwadui  ndio wanaanza mpira. Dakika ya 1:  simba wanarusha mpira. Dakika ya 8 : faulo kuelekea lango la mwadui Dakika ya 9: Goooooooooooo Boko anawanyanyua mashabiki vitini, simba 1 Dakika ya 11: Simba…

SIMBA SC KAZINI TENA LEO KUUMANA NA MWADUI FC

Timu ya Simba leo inashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara kuumana na Mwadui Fc kwenye uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga. Simba ndio vinara wa ligi hiyo baada ya kujikusanyia point 41 ikiwa imecheza michezo 17, huku mwadi…