JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Hawa Hapa wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa Walioteuliwa na Mwakyembe

Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) kwa mujibu wa Sheria ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ya mwaka 1967 pamoja na marekebisho yake ikisomwa na muundo wa shughuli za Baraza (Provisions of…

Wenger: Wachezaji wa Uingereza ni ‘mabingwa’ wa kujiangusha uwanjani

Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amelalamika kwamba wachezaji wa Uingereza wamekuwa na tabia ya kujirusha na kutengeneza adhabu. Amesema mchezaji wa Tottenham Dele Alli alifanya kitendo hicho kwenye mchezo wa jumapili huko Liverpool na kusababisha mwamuzi kutoa adhabu…

Alexis Sanchez Atupwa Jela Miezi 16 Kwa Kukwepa Kodi

Mchezaji mpya wa klabu ya Manchester United Alexis Sanchez amehukumiwa jela miezi 16 kutokana na kosa la kukwepa kulipa kodi. Hukumu hiyo imetolewa jana ,Sanchez anadaiwa kukwepa kulipa kodi wakati alipokuwa nchini Uhispania ambapo mamlaka nchini humo zinasema anadaiwa kiasi…

Full Time Simba vs Azam (1-0)

Dakika ya 3: Simba wanapata kona ya pili Dakika ya 4: azam wanakosa goli mpira wa kichwa unatoka juu ya lango la Simba Dakika ya 6: Ofside upande wa simba mchezaji wa Azam emezidi Dakika ya 8: mabao bado 0-0,…

SIMBA VS AZAM LEO MTOTO ATUMWI DUKANI

ITAKUWA ni vita kali ndani ya Uwanja wa Taifa leo Jumatano saa 10.00 jioni, pale Vinara wa Ligi Kuu barra, Simba SC, itakapokuwa ikipambana na Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC  kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya…

WATFORD YAISHUSHIA KIPIGO CHA PAKA MWIZI CHELSEA, YAIKUNG’UTA GOLI 4-1

Watford ilifunga mabao matatu ya dakika za lala salama kushinda mechi ya kwanza ya mkufunzi Javi Gracia dhidi ya Chelsea ,ushindi unaompatia shinikizo kali mwenzake wa Chelsea Antonio Conte. Chelsea ilicheza takriban saa moja ikiwa na wachezaji 10 baada ya…