JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Coastal Union wahamia rasmi Arusha

Na isri Mohamed Uongozi wa klabu ya Coastal union umewajulisha rasmi mashabiki na wadau kwamba timu hiyo itautumia Uwanja wa Sheikh Amri Abedi, Arusha kama uwanja wake wa nyumbani kwa michezo yake inayofuata. Taarifa iliyotolewa na ‘Wanamangush’ leo Oktoba 10,…

Injinia Hersi aalikwa mkutano wa ECA Ugiriki

Na Isri Mohamed RAIS wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said ni miongoni kati ya wageni waalikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu Barani Ulaya (ECA). Hersi ambaye pia ni Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, atahudhuria mkutano huo unaofanyika katika mji…

Waziri Mkuu awatembelea Stars mazoezini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) inayofanya mazoezi kwenye uwanja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam na kusema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ana matumaini…

Yanga wapangwa na Mazembe, Hilal na Alger

Na Isri Mohamed Wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL ), Young Africans Sc wamepangwa Kundi A kwenye michuano hiyo sambamba na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya…

Simba yapangwa na CS Sfaxien, CS Costantine na Bravos makundi CAFCC

Na Isri Mohamed Droo ya makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika 2024/25 imefanyika leo na klabu ya Simba imepangwa kwenye Kundi A pamoja na CS Sfaxien ya Tunisia, CS Constantine ya Algeria na Fc Bravos ya Angola. KUNDI A…

JKT Queens yafanya mauaji Ngao ya Jamii

Klabu ya JKT Queens imetinga fainali ya Ngao ya Jamii wanawake 2024 baada ya kuikanda Ceasia Queens mabao 7-0. Mchezo huo wa kwanza wa nusu fainali Ngao ya Jamii wanawake umefanyika wenye uwanja wa KCM, Dar es Salaam. Kwa ushindi…