Category: Michezo
Simba wazindua uzi mpya wa kimataifa
Na Isri Mohamed Klabu ya Simba leo Novemba 20, 2024 imezindua rasmi jezi mpya watakazotumia kwenye mashindano ya kimataifa wanayoshiriki ambayo ni kombe la shirikisho barani Afrika ( CAFCC) Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa jezi hizo iliyofanyika Katika duka…
Timu ya waogeleaji safarini kuelekea Burundi
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Timu ya taifa ya waogeleaji imeanza safari leo Novemba 20 kuelekea nchini Burundi kushiriki mashindano Cana kanda ya tatu ya mwaka huu 2024( Cana zone 3 2024). Kikosi hicho kimesafiri kikiwa tayari kushiriki…
Mwanariadha wa Jeshi la Polisi ang’ara nchini Uingereza, avunja rekodi
Na Mwandishi Maalum Mwanariadha wa Jeshi la Polisi Konstebo Transfora Mussa ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa wanawake kupitia mbio za kilometa 10 katika mbio za Fulham 10k zilizofanyika Nchini Uingereza Novemba 17, 2024 huku akifanikiwa kuvunja rekodi iliyokuwa…
Ummy Mwalimu azindua ligi ya Wilaya ya Tanga
Na Mwandishi Wetu, Tanga Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ummy Ally Mwalimu amezindua rasmi Ligi ya Mpira wa Miguu Wilaya ya Tanga ambayo inasimamiwa na Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya…
Rais Samia awapa stars milioni 700
Na Isri Mohamed Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwapa zawadi ya Tsh. milioni 700 Taifa Stars baada ya kufuzu AFCON 2025 ambayo michezo yake itachezwa nchini Morocco. Taarifa ya Rais Samia kutoa fedha hizo imetolewa na Waziri mwenye dhamana ya…
Tanzania yafuzu Afcon 2025
Na Isri Mohamed Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imefuzu kucheza mashindano ya mataifa ya Afrika (AFCON 2025) yatakayofanyika nchini Morocco. Stars imefuzu leo katika dimba la Mkapa dhidi ya Guinea kupitia bao moja lililofungwa na Simon Msuva kipindi…