Category: Nyundo ya Wiki
Arejea masomoni na kukuta ajira yake serikalini imeyeyuka
Aliondoka kwenda masomoni baada ya kupata baraka zote za mwajiri wake. Alikuwa na lengo la kujiongezea elimu, ujuzi na maarifa na kuvitumia kulitumikia taifa lake kupitia taaluma yake ya uuguzi. Lakini alipatwa na mshituka aliporejea kutoka masomoni akiwa amekwisha kuhitimu…
Mauaji ya wanawake yatikisa Arusha
Kwa muda wa miezi miwili sasa Jiji la Arusha na vitongoji vyake limetikiswa na mauaji ya wanawake. Katika kipindi hicho zaidi ya wanawake kumi wameuawa baada ya kubakwa, kisha kunyongwa. Kwa mujibu wa watu walioshuhudia maiti za wanawake hao, nyingi…
Wagombea CCM mtegoni
Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanataka mabadiliko kwenye kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho ili kuruhusu kiongozi kuwa na kofia ya uongozi zaidi ya moja. Hata hivyo, wajumbe wameambiwa wanaotaka nafasi nje…
Uchumi wa gesi bado gizani (2)
Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) limesema litajitosa kufanya utafiti wa gesi baharini kuanzia mwakani kama njia ya kuifufua sekta hiyo ambayo shughuli zake zimesimama kwa sasa. Akizungumza na JAMHURI ofisini kwake hivi karibuni, Mkurugenzi wa Utafiti wa TPDC,…
Uchumi wa gesi bado gizani
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Safari itakayowafikisha Watanzania kuanza kupata faida kubwa zitokanazo na uchumi wa gesi bado inazidi kuwa ndefu kutokana na vikwazo kadhaa vinavyoibuka kila wakati. Wakati wa kilele cha vuguvugu la mgogoro wa ujenzi wa bomba…
Uhuru miaka 58 bado kuna kususa tu? (2)
Katika sehemu iliyopita ya makala hii tuliona historia ya vyama vya siasa hapa nchini tangu wakati wa ukoloni. Tuliona jinsi wakoloni nao walivyowatumia baadhi ya wazawa kuanzisha vyama ambavyo vilikuwa na wanachama Waafrika kwa lengo la kutaka kuwagawa. Lakini katikati…