Category: Nyundo ya Wiki
Mkandarasi mwendokasi pasua kichwa
DODOMA Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, amelia bungeni wakati akihoji kwa nini Kampuni ya Syno Hydro inapewa zabuni za kujenga miradi mbalimbali ukiwamo wa barabara ya mwendokasi kutoka Kariakoo hadi Gongo la Mboto jijini Dar es…
‘Sulfur’ mbovu hatarini kusambazwa
*Ni tani 70,000 zilizokamatwa na kuthibitishwa ni feki *Bodi ya Korosho yazirejesha kwa mzabuni zipelekwe kwa wakulima *Mkurugenzi Mkuu CBT azungumza, asema zimejadiliwa Dodoma Dar es Salaam Na Alex Kazenga Takriban tani 70,000 za viuatilifu aina ya ‘sulfur’ zilizokamatwa mkoani…
TEMESA katikati ya dimbwi la lawama
*Wananchi wadai kuna vivuko vinaendeshwa kama mali binafsi *Abiria walazimika kumsubiri mkatisha tiketi kwanza apeleke fedha benki DAR, UKEREWE Na Waandishi Wetu Baadhi ya watumiaji wa Kivuko cha MV Ujenzi kinachotoa huduma kati ya Kisorya, Bunda na Ngoma wilayani Ukerewe,…
Mitandao ‘yamponza’ wakili msomi
Ripoti ya CAG yathibitisha madai aliyotoa mwaka jana DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Wiki iliyopita iligubikwa na taarifa za kutoweka kwa mmoja wa mawakili wa Mahakama Kuu, Peter Madeleka, ikidaiwa kuwa ‘ametekwa’ na watu wasiojulikana. Inadaiwa kuwa Madeleka, kachero…
Mgogoro wa fedha wafukuta kwa Wasabato
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Washiriki wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania wanawatuhumu baadhi ya viongozi wao kwa tuhuma mbalimbali ikiwamo ubadhirifu wa fedha na matumizi mabaya ya madaraka. Tuhuma hizo zimesababisha mgogoro wa muda mrefu na kusababisha washiriki…
Benki yadaiwa kugeuka mumiani
*Yajipanga kuipiga mnada ‘nyumba ya Serikali’ *Ni kinyume cha vipengele vilivyowekwa kisheria *Mfanyabiashara adai mkopo wageuzwa ndoana DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Nyumba iliyokuwa ikimilikiwa na serikali imo hatarini kupigwa mnada kwa kile kinachodaiwa kuwa mmiliki wake kushindwa kulipa…