JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Nyundo ya Wiki

Udini wapasua Bunge

*Tangazo la wabunge Waislamu kukutana lavuruga *Wakristo waandaa muswada wa Amri 10 za Mungu NA MWANDISHI WETU Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekumbwa na mgawanyiko wa chini kwa chini wa udini.   Hali hiyo ilitojitokeza Alhamisi iliyopita ambako…

Wateja wa ulimwengu mpya wa biashara

Katika makala mbili zilizopita nilikuwa nikichambua kuhusaina na ulimwengu mpya wa biashara. Nilieleza kwa kina namna uchumi ulivyohama kutoka viwanda kwenda taarifa na huduma, na hivyo kuathiri namna biashara zinavyofanyika. Katika makala zile mbili nilieleza kwa sehemu kubwa kuhusu taarifa…

Wenye VVU wakubali unyanyapaa kulinda CD4

Mbali ya kifungu cha 32 cha Sheria ya Kudhibiti Ukimwi namba 28/2008 kupiga marufuku unyanyapaa, watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) wamesema tatizo hilo bado ni kubwa.   Kutokana na hali hiyo, jamii ya wenye VVU imedai imekuwa ikilazimika…

Mama akodisha baunsa kumchapa mtoto wake

NA VICTOR BARIETY, GEITA Mtoto mwenye umri wa miaka 13 amelazimika kutoroka nyumbani na kwenda kuishi kwa wasamaria wema, baada ya kulemewa na kichapo kutoka kwa mwanaume mwenye kifua na misuli mipana (baunsa).  Mtoto huyo, mwanafunzi wa Darasa la Saba…

Ngono: Diwani CCM matatani kugeuza mwanafunzi kimada

Diwani wa Kata ya Nyugwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Donald Kabosolo, anafanya kazi ya ziada kuzima tuhuma dhidi yake juu ya uhusiano wa kingono na mwanafunzi wa sekondari ya kata hiyo iliyopo katika  Wilaya ya Nyang’hwale, mkoani Geita.