JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Nyundo ya Wiki

Dimbwi halisababishi mafuriko

Mafuriko  ni wingi wa maji uliopitiliza, wingi huo wa maji hutokana na nguvu za asili. Hakuna mwanadamu awezaye kuyatengeneza mafuriko kama ilivyo vigumu kwa kuyazuia, hakuna awezaye kuyazuia mafuriko. Hiyo ni nguvu ya asili.  Pamoja na ujanja wote wa binadamu…

Wampinga JK kwa Magufuli

Rais Jakaya Kikwete ameibua hisia za baadhi ya akina mama wanaopinga hoja yake inayosema kwamba mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ni “Chaguo la Mungu”. Akinamama hao waliokuwa wakishiriki kongamano…

Sumbawanga yanuka ufisadi

Vigogo wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga wamedaiwa kutengeneza vitabu bandia vya kukusanyia mapato ya ushuru na leseni za  uvuvi kwa wafanyabiashara wa samaki katika Ziwa Rukwa, JAMHURI inaripoti.  Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kwamba vitabu hivyo vimetengenezwa na baadhi…

Mzungu mchochezi anaswa Loliondo

Raia wa Sweden, Susanna Nordlund, anayetambuliwa kama mmoja wa wachochezi wakuu wa migogoro katika eneo la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha, amekamatwa na kufukuzwa nchini. Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama na Mkuu wa Wilaya (DC) ya Ngorongoro, Hashim Shaibu,…

Manispaa Kinondoni ‘yauza’ barabara

Serikali Kuu na Manispaa ya Kinondoni wameruhusu ujenzi wa Shule ya Saint Florence Academy iliyopo Mikocheni “B”, Dar es Salaam juu ya barabara. Hatua hiyo, licha ya kuwa imevunja sheria za Mipango Miji, imekuwa kero na hatari kwa usalama wa…

Wazee ‘wamaliza kazi’ CCM

Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), limeshatoa mapendekezo ya awali ya kumsaidia Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, ili kumpata mgombea urais atakayekiwakilisha chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu. Baraza hilo linaundwa na…