Category: Nyundo ya Wiki
Mbowe: Hatuwezi kukata tamaa
Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu umeiweka nchi katika historia nzuri na mbaya, kutokana na kuimarika kwa vyama vya siasa vya ushindani huku dosari nyingi zilizojitokeza. Idadi kubwa ya wananchi waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura walijitokeza katika kampeni…
Lowassa hajanihonga – Mramba
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Felchesmi Mramba, amesema hajahongwa kiasi chochote cha fedha na wadau mbalimbali akiwamo Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, kama inavyodaiwa. Taarifa zilizopo zinadai kwamba Mramba amehongwa Sh. bilioni 4 na Lowassa…
Ndani ya Dk. Magufuli namuona Mwl Nyerere
Nimepata muda wa kukaa na Dk. John Magufuli, kwa nyakati mbalimbali tangu akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi hadi sasa anapowania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwanasiasa huyu anayepewa nafasi kubwa ya kushinda kiti cha urais, ni mfuasi mzuri…
Mabadiliko Polisi, kampeni zamngo’a RPC Konyo Geita
Wakati kampeni za urais, ubunge na udiwani zikiendelea nchini, joto la uchaguzi limepamba moto kiasi cha kumponza Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Geita, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Joseph Konyo. Taarifa za uhakika kutoka Jeshi la polisi Dar es…
SAMIA: Tutachapa kazi kama mchwa
Kama kuna mambo yatakayobaki kwenye historia nchi baada ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete, ni kuwapa nafasi wanawake katika vyombo vya uamuzi. Mbali ya kuteua wakuu wengi wa wilaya, mikoa, majaji ni Rais Kikwete aliyeonekana kuwa na kiu akitaka moja…
Waathirika Operesheni Tokomeza waibuka
Kiongozi wa Kamati ya Wafugaji kutoka Kijiji cha Lumbe, Kata ya Ukumbisiganga, Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, amepiga kambi jijini Dar es Salaam akililia fidia ya ng’ombe 2,537 waliopotea kwenye ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’ iliyofanyika Oktoba 2013. Wakati wenzake wakirudi nyumbani,…