Category: Nyundo ya Wiki
UDA kumtumbua Iddi Simba
Serikali imeanza taratibu za kufufua kesi ya ufisadi wa uuzwaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ambalo ni mali ya umma. Vyanzo vya habari vya uhakika vimelithibitishia JAMHURI kuwa Serikali ya Awamu ya Tano tayari imeshaanza kufuatilia Shirika…
Bandari, TRA wanavyohujumu kodi
Serikali ya Rais John Pombe Magufuli inayo kazi ya ziada kudhibiti uvujaji wa mapato, kwani imebainika kuwa waliokabidhiwa kazi ya kukusanya kodi, wamejipanga kuhujumu mapato ya nchi, uchunguzi wa gazeti JAMHURI kwa mwaka mmoja umebaini. Imebainika kuwa makontena yanayoleta sintofahamu…
Polisi waomba Kitwanga, IGP wawanusuru
Baadhi ya askari polisi katika maeneo mbalimbali wamewaomba Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu kuingilia kati kuwanusuru na unyanyasaji wanaofanyiwa na Wakuu wa Polisi wa Wilaya (OCDs), wanaowahamisha vitengo…
Waziri aunda mchongo kabla ya kuachia ofisi
Mgogoro mkubwa umeibuka ukiwahusisha wafanyabiashara ya uwindaji wa kitalii na Serikali. Chanzo cha mtafaruku huo ni uamuzi wa aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, siku chache kabla kuachia ofisi, kufuta Kanuni za Uwindaji wa Kitalii za mwaka 2010…
Lowassa, Maalim Seif waitesa CCM
Wagombea wa urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Maalim Seif Sharif Hamad kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), wameikaba koo Serikali. Licha ya vikao kadhaa na viongozi…
Sitta amesahau nini bungeni?
Mwanasiasa wa siku nyingi, Samuel Sitta, ametangaza nia ya kuwania kiti cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kuna sentesi maarufu ya: “ni haki yake ya kikatiba.” Sawa, ni haki yake, lakini hata sisi wananchi tuna haki…