Category: Nyundo ya Wiki
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 5
Majaji, mahakimu ni shida V: WAJIBU WA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI 1. Umma wa Tanzania umekuwa unakerwa sana na kuenea kwa rushwa nchini, hasa ile inayodaiwa na watumishi wa umma katika ngazi za chini kutokana na hali ngumu ya…
Wafanyabiashara wahojiwe, mali zitaifishwe
Sehemu ya tatu ya ripoti hii ya Jaji Joseph Warioba iliyochapishwa wiki iliyopita, kwa kiasi kikubwa ilizungumzia maadili ya viongozi na hatua ya viongozi kufanya biashara wakiwa madarakani kwa kuuza hadi vidani vya wake zao kwa wafanyabiashara. Wiki hii, tunakuletea…
Uongozi mbovu unachochea rushwa
Wiki iliyopita tulichapisha sehemu ya pili ya Ripoti ya Rushwa ya Jaji Warioba. Pamoja na mambo mengine, iligusia ukaribu wa viongozi kwa wafanyabiashara nchini ulivyochochea ukuaji wa rushwa nchini. Leo tunakuletea sehemu ya tatu. Endelea… (iii) Ukosefu wa uwazi…
Ripoti ya Warioba ya Rushwa inatisha (2)
Katika sehemu ya kwanza ya ripoti hii, tulikuletea hadidu rejea alizopewa Jaji Joseph Warioba na wajumbe wenzake wa Tume ya Kuchunguza Kero ya Rushwa Nchini na sehemu ya vyombo vya dola vilivyotajwa kuwa wanakula rushwa. Katika sehemu ya pili leo,…
Ripoti ya Warioba ya Rushwa inatisha
Mwaka huu, Tanzania inaye Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli. Rais Magufuli, ameonyesha nia ya dhati ya kupambana na vitendo vya rushwa nchini, na hasa baada ya kuanzisha rasmi mchakato wa Mahakama ya Mafisadi kwa kuitengea bajeti…
Mawaziri wakikwepa kiwanda cha saruji
Wakazi wa kata za Boko na Bunju jijini Dar es Salaam ambao wamekilalamikia kiwanda cha Saruji cha Twiga Cement (Wazo) kwa kuharibu mazingira wamewalalamikia Mawaziri wa Wizara ya Muungano na Mazingira kwa kushindwa kuchukua hatua kwa kiwanda hicho. Pamoja na…