Category: Nyundo ya Wiki
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 13
Uhamiaji, mahakimu rushwa tu Mianya ya rushwa 282. Mianya ya rushwa katika Idara ya Uhamiaji inatokana na baadhi ya vifungu vilivyomo katika Sheria ya Uhamiaji. Lakini sehemu kubwa ya mianya ya rushwa ni matokeo ya usimamizi wa kazi usioridhisha wa…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 12
IDARA YA UHAMIAJI 257. Uhamiaji ni idara ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani yenye majukumu na wajibu kama ilivyoainishwa katika Sheria ya Uhamiaji (The Immigration Act, 1995). Majukumu ya Idara ya Uhamiaji yanajumuisha kuzuia uingiaji nchini Tanzania wa watu…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 11
Polisi wanalea dawa za kulevya Mapendekezo 244. Tume inatoa mapendekezo yenye madhumuni ya kupunguza na hatimaye kuondoa wimbi la rushwa inayotokana na vitendo ndani ya Jeshi la Polisi kama ifuatavyo: a) Ziwepo jitihada za makusudi zitakazoelekezwa kwenye kuelimishana kuhusu…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 9
Polisi waliiharibu TAKUKURU YALIYOJITOKEZA 154. Tume imetafakari kwa undani muundo wa taasisi na shughuli za kurugenzi zote. Katika kufanya hivyo, umuhimu wa Kurugenzi ya Mafunzo, Utafiti na Elimu kwa Umma umetiliwa maanani hasa kwa kuzingatia jukumu lake zito…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 7
Uteuzi unanuka upendeleo serikalini Ukiukwaji taratibu na udhaifu katika usimamizi 80. Sheria na taratibu za utumishi zilizowekwa na Serikali kimsingi ni nzuri na endapo zinatekelezwa ipasavyo, utendaji wa Serikali utakuwa mzuri. Kinyume na matakwa ya sheria na taratibu hizo,…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 6
Rais asiachiwe zigo la rushwa MAADILI YA NYONGEZA KWA MAWAZIRI NA WAKUU WA MIKOA 50. Sehemu ya Nne ya Sheria inaweka masharti maalumu kwa mawaziri na wakuu wa mikoa. Wakuu wa wilaya hawakuhusishwa ingawaje wameorodheshwa kama viongozi wa umma. Maadili…