JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Nyundo ya Wiki

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 25

TRA ina mianya ya rushwa     474. Idara hizi hukusanya asilimia 70 – 73 ya mapato yote ya Serikali Kuu yanayotokana na kodi mbalimbali. Hali ya ukusanyaji kodi katika idara hizi kwa kipindi cha miaka mitano imeonyeshwa katika kiambatisho…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 24

Viongozi Z’bar wawajibishwe (a) ADUCO INT. B.V. Ushahidi unathibitishakuwepo kwa mizengwe katika kupatiwa kazi kampuni ya UDUCO INT. B.V. kwamba licha ya Waziri kukubaliana na Katibu Mkuu wa Wizara awali kuwa kutokana na zabuni za ADUCO kuwa juu zaidi ya…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 23

Kaula, Dk. Mlingwa, rushwa ‘iliwapofusha’   Zabuni hizo zilipokelewa na kufunguliwa katika ofisi za Halmashauri Kuu ya Zabuni tarehe 26 Juni, 1991 na baadaye kukabidhiwa Wizara ya Ujenzi kwa uchambuzi na tathmini. Zabuni zilifanyiwa uchambuzi na tathmini na wahandisi wa…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 20

Makandarasi ni shida   SEHEMU YA PILI   KANDARASI ZA UJENZI 408. Wizara ya Ujenzi ni miongoni mwa Wizara zinazotumia fedha nyingi za Serikali. Kwa mfano, katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 1994/95 bajeti ya Wizara ya Ujenzi ilikuwa…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 16

Mahakimu wanadharau majaji   344. Tume inapandekeza kwamba: i)      Mamlaka ya Mahakama ihakikishe kwamba juzuu za sheria zinapelekwa katika Mahakama zote, hasa za mahakimu, zikiwa zimefanyiwa marekebisho yote yaliyofanywa na Bunge. ii)     Utaratibu wa kutoa vitabu vyenye…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 15

Nidhamu mahakimu imeshuka   Mapendekezo Tume inapendekeza kama ifuatavyo:-  (i)Ajira ya makarani wa mahakama katika ngazi zote ifanywe baada ya tathmini ya tabia ya waombaji kufanywa na idara. Kila inapowezekana idara itumie vyombo vingine vya taifa kupata taarifa za waombaji…