Category: Nyundo ya Wiki
Siri mjane ‘aliyejilipua’
Swabaha Shosi, ambaye wiki iliyopita alimweleza Rais John Magufuli namna anavyosumbuliwa na vyombo vya utoaji haki, kwa sasa analindwa na vyombo vya ulinzi ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais. “Kwa kweli nashukuru, nimepewa ulinzi, ninao,” amesema Swabaha alipozungumza kwa…
Kijiji chawapa Wazungu ekari 25,000
Kampuni ya AndBeyond ya Afrika Kusini, imeingia mkataba na uongozi wa Kijiji cha Ololosokwan, Ngorongoro mkoani Arusha unaoiwezesha kuhodhi ekari 25,000 za ardhi kwa ajili ya utalii wa picha. Malipo yote yanayofanywa na kampuni hiyo yanaishia mikononi mwa viongozi wa…
Ufisadi watikisa katika ngozi
Azma ya Rais John Pombe Magufuli kuelekea nchi ya viwanda huenda isitimie kutokana na genge ya walanguzi kutoka nje ya nchi kuikosesha Serikali mapato zaidi ya bilioni 25, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. JAMHURI imebaini ufisadi wa kutisha unaodidimiza sekata ya…
Watendaji Kilwa wachunguzwa
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, ameiagiza Wilaya ya Kilwa kuunda timu itakayofanya uchunguzi ili kubaini watendaji waliosababisha kukwama kwa ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kisongo, pamoja na ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari Kata ya Lihimalyao. …
Msaka majangili ateswa
Siku 12 baada ya kumwandikia barua nzito, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Peter Mtani, amekamatwa na kuteswa kwa siku saba mfululizo kabla ya kuachiwa wiki iliyopita bila masharti. Mtani amekuwa afisa wanyamapori daraja la pili,…
Wafanyabiashara na TRA
493. MATATIZO YA UTARATIBU HUU NA MIANYA YA RUSHWA (i) Idara ya Upelelezi, Uzuiaji na Mashtaka Makao Makuu na Kitengo cha Ofisi za kanda kinawasaka wakwepa kodi, wafanyabiashara ya magendo na wanaolipa kodi ndogo, ikiwezekana kukamata mali zao na kuwafungulia…