JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Nyundo ya Wiki

Anne Makinda yamfika

Uamuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Anne Makinda, wa kuwafurusha wakurugenzi na watumishi kadhaa wa Mfuko huo, unaelekea kuitia Serikali hasara ya Sh bilioni 9. Kiasi hicho cha fedha huenda kikalipwa kwa…

‘Bureau de Change’ zafungwa Dar

Vyombo vya dola vimefunga maduka kadhaa ya kubadilishia fedha (Bureau de Change) jijini Dar es Salaam, yanayohusishwa na utakatishaji na usafirishaji fedha zinazotokana na biashara ya dawa za kulevya. Vyanzo vya habari vya uhakika vimelithibitishia JAMHURI kuwa tayari maduka matano…

Barabara yavunja rekodi

Wakati Rais John Magufuli, akijitahidi kubana matumizi, Manispaa ya Morogoro imejenga barabara ya lami yenye urefu wa Kilomita 4, kwa gharama ya Sh bilioni 12. Gharama hiyo imevunja rekodi ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami nchini, uchunguzi wa…

Ukweli usemwe kutekwa kwa Roma Mkatoliki

Msanii wa Bongo Fleva, Ibrahim Musa aka Roma Mkatoliki, aliyetoweka baada ya kudaiwa kukamatwa mapema siku ya Alhamisi katika mji wa Dar es Salaam, amepatikana na amekuwa akihojiwa kwa saa kadhaa baada ya kupatikana. Taarifa zinasema Roma Mkatoliki alirudi kwake…

Kigogo Ushirika kizimbani utakatishaji fedha

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU), Maynard Swai, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Arusha na Arumeru, jijini Arusha akishitakiwa kwa kosa la utakatishaji wa fedha. Swai, ambaye pia ni mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Wakulima…

Bodi ya Ununuzi na Ugavi yawafunda viongozi

Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) kwa kushirikiana na wakufunzi kutoka taasisi ya Uongozi,  Mafunzo ya Uongozi, kwa viongozi wa vyama vya wanafunzi wa vyuo kadhaa hapa nchini wanaosomea fani ya ununuzi na ugavi. Mafunzo hayo ya siku…