Category: Nyundo ya Wiki
PROF ABDALLAH SAFFARI: Haja ya Kuwa na Mahakama ya Juu Tanzania
Tarehe 9 Desemba mpiga solo mahiri Tanzania kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Nguza Viking, kwa lakabu ya muziki, Big Sound alitoka Gereza la Ukonga, Dar es Salaam ambako alikuwa akitumikia kifungo cha maisha. Aliachiwa baada ya kunufaika na…
Waziri Lukuvi Nisaidie
Mimi ni Mtanzania ambaye kwa sasa nipo nchini Marekani nikijiendeleza na kufanya shughuli mbalimbali kwa ajili ya kujikimu kimaisha. Mwaka 2008 nilikuja nyumbani (Tanzania) na kuelekea mkoani Mbeya kutafuta kiwanja cha makazi. Nilifanikiwa kupata kiwanja na kukabidhiwa hati miliki namba…
CUF wabemenda demokrasia
Na Thobias Mwanakatwe MGOGORO wa kiasiasa unaoendelea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) umedhihiriha jinsi viongozi wanavyofinyanga sharia na demokrasia ya vyama vingi ilivyo na mwendo mrefu kabla ya kufikiwa. Chama hicho ambacho ni cha tatu kwa ukubwa nchini,…
Mtetezi wa uhifadhi afungwa Loliondo
Mtetezi wa uhifadhi katika Pori Tengefu la Loliondo, Gabriel ole Killel, amefungwa gerezani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni chuki kutoka kwa viongozi wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) ambao amekuwa akiwapinga. Killel ambaye ni Mkurugenzi wa NGO ya KIDUPO, amefungwa…
Lukuvi aweka historia
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amevunja historia katika kutatua migogoro ya ardhi nchini na zamu hii ametumia zaidi ya saa 20 kusikiliza kero za wananchi akiwa ofisini Dar es Salaam. JAMHURI limemshuhudia Lukuvi siku ya…
Kenya wafurahi Harbinder kuswekwa rumande
Wakati mfanyabiashara maarufu Harbinder Singh Sethi akiendelea kusota rumande kutokana na kesi inayomkabiri kuhusu sakata la akaunti ya Escrow, yenye mashtaka 12, vyombo vya habari nchini Kenya vimeandika kashfa kadhaa zilizowahi kufanywa na mfanyabiashara huyo. Mtandao wa Standard Digital wa…