JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Nyundo ya Wiki

IGP Sirro usitishe wakosoaji, safisha Polisi

Nimesikiliza kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro, kuhusu kupatikana kwa Mo Dewji. IGP Sirro amesema pamoja na mengi mengine kwamba wanaotafuta uadui na Jeshi la Polisi wasije wakalaumu litakapowatokea la kutokea. Kwake yeye, kukosoa utendaji wa Jeshi la…

Tanzania itajengwa na wenye moyo!

SIMULIZI YA KATIBU MUHTASI WA MWALIMU NYERERE   Jumamosi, Oktoba 22, 1966, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vyuo vingine jijini waliandamana kwenda Ikulu wakiwa na mabango yaliyoandikwa maneno machafu dhidi ya Serikali ya Awamu ya Kwanza…

MWANZA NA MWANDISHI WETU   Wanafunzi 12 wa Sekondari ya Igokelo, Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, wamegundulika kuwa na ujauzito mwaka huu, hivyo kulazimika kuwa kando na masomo yao. Mimba hizo zimewalenga zaidi wanaosoma kidato cha kwanza, cha pili, tatu…

Serikali ‘isiwaue’ wafanyabiashara Kariakoo

NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAM Wiki iliyopita kimefanyika kikao baina ya jumuiya ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo na mawaziri watatu; Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles Mwijage; Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango na Waziri…

Jaji anyang’anywa jalada la mauaji Moshi

Na Charles Ndagulla, Moshi Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, Aishiel Sumari, amenyang’anywa jalada la kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Scolastica, Humphrey Makundi (16), JAMHURI limebaini. Hatua hii…

Moyo wa hisani unatupiga chenga Watanzania

Majuma mawili yalilopita nilishiriki hafla ya kuchangisha pesa za hisani iliyofanyika Ojai, kwenye Jimbo la California nchini Marekani. Ni hafla inayoandaliwa kila mwaka na Global Resource Alliance, shirika lisilo la kiserikali linalosimamia utekelezaji wa miradi ya kusaidia jamii mkoani Mara….