JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Nyundo ya Wiki

Sera ya uzazi wa mpango ibadilishwe

Septemba 9, mwaka huu Rais John Magufuli alipokuwa akizungumza na wananchi akiwa Meatu mkoani Simiyu aligusia uzazi wa mpango. Baada ya kuona, kusikia na kusoma mitazamo na maoni ya watu mbalimbali juu ya hoja aliyoitoa Rais Magufuli, nimeona nami nichangie…

GMO yafyekelewa mbali

Wananchi wadau wa kilimo wameupokea kwa shangwe na nderemo uamuzi wa serikali wa kupiga marufuku majaribio ya uhandisijeni yanayofanyika kwenye vituo vya utafiti nchini. Novemba 21, mwaka huu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe, aliiagiza Taasisi ya…

Mchati: Mti wa thamani unaotoweka Mafia

Licha ya ukweli kuwa uoto wa asili wa Kisiwa cha Mafia unafanana kwa kiasi kikubwa na uoto wa asili wa visiwa jirani vya Pemba na Unguja na maeneo ya Bara yaliyopo jirani kama Kisiju na Rufiji, watafiti Rogers na Greenaway…

Barua ya wazi kwa Rais wa Tanzania

Je, GMOs ni Sera ya Serikali? Mheshimiwa Rais; Kwa heshima na taadhima, niruhusu mimi mtoto wa mkulima mdogo na mwananchi wa nchi yetu tukufu nikusalimu. Hali yangu mimi na wanafamilia wenzangu, ambao ni wakulima wadogo nchini, si njema kabisa. Mheshimiwa…

Polisi aiba, aumbuliwa

Askari Polisi wa Wilaya ya Kinondoni amefanya uporaji kwenye ofisi za kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo jijini Dar es Salaam. Oktoba 3, mwaka huu saa tatu usiku, askari aliyefahamika kwa jina moja tu la Shuka, akiwa na wenzake…

Rashid Malima sasa yametimia

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kumsaka aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kukuza Maendeleo Vijijini (PRIDE Tanzania), Rashid Malima. Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, John Mbungo, amesema Malima (65), anakabiliwa na tuhuma za kuchota Sh bilioni…