Category: Nyundo ya Wiki
Mjomba amtia mimba mpwawe (2)
Wiki iliyopita Gazeti la JAMHURI liliandika habari kuhusu binti wa shule anayedaiwa kutiwa mimba na mjomba wake. Hapa chini ni mwendelezo wa mahojiano ya wahusika wa tukio hilo. Endelea… Saimoni anasema kisa hicho kimetengenezwa na mama yake mzazi ili kukwamisha…
Mjomba amtia mimba mpwawe
Ukishangaa ya Musa…hivyo ndivyo naweza kusema kuhusu binti (jina limehifadhiwa kwa sababu za kisheria) mwenye umri wa miaka 16, ambaye anatakiwa kuwa shuleni, lakini haiko hivyo kwake, yupo nyumbani analea mtoto wake mwenye umri wa miezi minne. Anatamani kupata nafasi…
Mfugaji ‘atapeliwa’ mamilioni
Mkuu wa Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, Luis Bura, kwa kushirikiana na Ofisa Mifugo na Mtendaji wa Kata ya Kifula wilayani humo wanatuhumiwa kumtapeli mfugaji wilayani humo kiasi cha Sh milioni 12. Mfugaji anayedai kutapeliwa anaitwa, Subi Gagi (56), ambaye…
Benki M yaikuza Benki ya Azania
Ukosefu wa ukwasi wa kutosha uliokuwa unaikabili Benki M umesababisha mali na madeni yake kuhamishiwa katika Benki ya Azania Ltd, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema. Uamuzi huo umefikiwa baada ya BoT kubaini kuwa benki hiyo imetetereka na kujikuta ikiwa…
Jiji lanyang’anywa maegesho
Serikali imemkabidhi Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mkoa wa Dar es Salaam jukumu la kukusanya mapato ya maegesho ya magari kuanzia Februari mwaka huu. Mratibu wa TARURA Mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi George Tarimo, ameliambia Gazeti…
Aliyetekwa arejeshwa kwa staili ya Mo
Raymond Mkulo (29) anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana Novemba 18, mwaka jana katika ufukwe wa Coco, Dar es Salaam, naye amerejeshwa kwa mtindo unaoshabihiana na ule uliotumika kumrejesha mfanyabiashara Mohamed Dewji (Mo). Mkulo alipotea kwa siku 47 tangu alipotekwa akiwa…