Category: Nyundo ya Wiki
Sekondari ya Filbert Bayi kushtakiwa mahakamani
Baba mzazi wa mwanafunzi aliyeruhusiwa na Shule ya Sekondari ya Filbert Bayi iliyoko Kibaha, Pwani kufanya mtihani wa taifa kwa mwaka jana akiwa mjamzito amedhamiria kuishtaki shule hiyo kwa kuharibu ndoto za mwanaye. Egbert Bayi, baba mzazi wa mwanafunzi (jina…
Maji ya visima hatari Songea
Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa Songea, Mkoa wa Ruvuma wamo hatarini kupata ugumba na saratani kutokana na kutumia maji yenye kinyesi cha binadamu kwa miaka 16 baada ya kuchimba visima karibu na vyoo, JAMHURI limebaini. Uchunguzi wa gazeti hili uliohusisha,…
Mapya sakata la korosho
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar ambaye pia ni mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mikoa ya Lindi na Mtwara, Zuberi Ally Maulid, amefichua kinachoendelea kuhusu wakulima kurudishiwa korosho zinazodaiwa ni mbovu. Kwa mujibu wa kiongozi huyo ambaye amewahi kuwa…
Mjamzito afanya Mtihani wa Taifa, afaulu
Shule ya Filbert Bayi iliyopo Kibaha, mkoani Pwani, mwaka jana iliruhusu mwanafunzi mjamzito kufanya mtihani wa taifa wa kuhitimu Kidato cha Nne. Mwanafunzi huyo (jina linahifadhiwa) alifanya mtihani huo kwa namba S 1437/0002 katika matokeo ya mtihani yaliyotangazwa Januari mwaka…
‘Wapigaji’ ATCL wadakwa
Je, una akaunti ya benki nje ya nchi? Umewahi kujiuliza kuhusu usalama wa kadi yako? Hebu fanya mpango ukague kadi yako na ujiridhishe kama haijadukuliwa na fedha zako kutumika kulipa huduma ambazo hukuzitumia. Mtandao unaojihusisha na matumizi ya kadi za…
Fahamu kuhusu ‘mwuaji’ watoto Njombe
Ni baba wa watoto wanne, mganga wa jadi aeleza siri imani ya utajiri wa kichawi Maisha ya mtuhumiwa, Joel Nzuki, katika kesi ya mauaji ya watoto watatu wa familia moja yameelezwa kutokuwa na viashiria vya wazi kwa mhusika kuhusishwa na…