JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Nyundo ya Wiki

Idadi kubwa ya watu ni ‘dili’

Mwelekeo wa dunia juu ya idadi ya watu, kwa sasa hasa kwa nchi zilizoendelea [Magharibi na Mashariki] zimeachana na sera za kupunguza idadi ya watu wao badala yake zinajitahidi kadri ya uwezo wao kuongeza idadi hiyo. Hii ni baada ya…

Mazito aliyekwepeshwa kwa Magufuli

James Kunena aliyeporwa nafasi ya kuzawadiwa na Rais Dk. John Magufuli kuwa mfanyakazi bora wa Shirika la Reli Tanzania (TRL) alipigiwa kura na wenzake kwa kuwa alibuni vipuri vilivyotakiwa kuagizwa nje ya nchi. Hatua yake hiyo iliwashawishi wenzake kumchagua kuwa…

Bodaboda ahofiwa kufia Polisi

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linatuhumiwa kumuua kwa kipigo dereva wa bodaboda, Josephat Jerome Hans, baada ya kumtuhumu kwa wizi wa kompyuta mpakato (Laptop) katika nyumba ya kulala wageni ya Blue Sky jijini humo. Tuhuma hizo zimo kwenye barua ya…

Mateso magerezani…

Mahabusu 200 waachiwa huru   Mahabusu 201 waliokuwa katika magereza ya wilaya za Musoma, Tarime na Serengeti mkoani Mara wamefutiwa kesi zilizowakabili. Hatua hiyo imekuja baada ya ziara ya ukaguzi ndani ya magereza hayo iliyofanywa na Naibu Katibu Mkuu wa…

Neno la Pasaka kutoka kwa Askofu Bagonza

IJUMAA KUU – KANISA KUU LUKAJANGE 2019 MATHAYO 27: 27-31, 39-40 “Ndipo askari wa Liwali wakamchukua Yesu ndani ya Proitorio,* wakamkusanyikia kikosi kizima. Wakamvua nguo, wakamvika vazi jekundu. Wakasokota taji ya miiba, wakaiweka juu ya kichwa chake, na mwanzi katika…

Mnyukano wa Spika, CAG wapamba moto

Mvutano kati ya Bunge na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, umepamba moto. Kauli iliyotolewa wiki iliyopita na bingwa huyo wa masuala ya ukaguzi wakati akiwasilisha muhtasari wa ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka…