Category: Uchumi
GePG inavyoyapaisha mapato ya Serikali
Mfumo wa ukusanyaji wa mapato ya Serikali yasiyokuwa ya kodi umezidi kuimarika kuthibitisha umuhimu wake katika kuongeza mapato, pongezi kwa Wizara ya Fedha na Mipango kwa kuanzisha Government e-Payment Gateway kwa kifupi GePG. Katika kuhakikisha kuwa ukusanyaji wa mapato ya…
BUZWAGI INAFUNGWA… Wananchi wanaachwa vipi?
Mgodi maarufu wa dhahabu wa Buzwagi uliomo ndani ya Manispaa ya Mji wa Kahama unatarajia kuacha uzalishaji Juni mwaka huu, na kufungwa kabisa ifikapo mwaka 2026. Bila shaka habari hii si njema sana kwa wakazi wanaouzunguka mgodi huo, kwa kuwa…
Serikali ‘isiwaue’ wafanyabiashara Kariakoo
NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAM Wiki iliyopita kimefanyika kikao baina ya jumuiya ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo na mawaziri watatu; Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, Charles Mwijage; Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango na Waziri…
Heri ya Mwaka Mpya na Muhogo
Mpendwa msomaji nakutakia heri ya mwaka mpya 2018. Mungu alipo hakuna cha kuharibika. Nikiri kuwa katika kuumwa nimepata fursa ya kufahamu Watanzania wanavyofuatilia kazi ya mikono yangu na hasa hili suala la muhogo. Nimegundua kuwa Watanzania wengi wana nia ya…
Manispaa Kinondoni ‘yauza’ barabara
Serikali Kuu na Manispaa ya Kinondoni wameruhusu ujenzi wa Shule ya Saint Florence Academy iliyopo Mikocheni “B”, Dar es Salaam juu ya barabara. Hatua hiyo, licha ya kuwa imevunja sheria za Mipango Miji, imekuwa kero na hatari kwa usalama wa…
Yanayoendelea Afrika Kusini ni mwendelezo wa ubeberu
Hisia tupu hazitusaidii kuzikabili changamoto zenye uhalisia mwingi. Kiendeleacho Afrika Kusini ni matokeo ya muda mrefu wa kupandwa kwa saratani ya ubaguzi wa kijamii, kisiasa na kiuchumi. Haiyumkiniki ni kile kitarajiwacho baada ya jamii na tawala kujisahau, wakatokea kudunisha baadhi…