JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

RC K’njaro amilikisha marehemu kiwanja

Ndugu zangu wanahabari, Januari 30 mwaka huu, niliwaiteni na kuwaeleza kwa kirefu kuhusu mgogoro wa kiwanja kilichokuwa na hati namba 10660 ambacho ndipo zilipo Ofisi za Kata ya Mawenzi ambacho zamani kilikuwa kikimilikiwa na The Registered Trustees of Mawenzi Sports…

Ugaidi Tanzania

Serikali imetakiwa iwe makini kuhakikisha inavitumia vyombo vyake vya ulinzi na usalama na wananchi kukabiliana na tishio la makundi ya kigaidi, hasa al-Shaabab kutoka Somalia. Mbunge wa Kigoma Kusini – NCCR-Mageuzi, David Kafulila ameliambia JAMHURI kwamba Tanzania inapaswa kuwa makini….

‘Serikali imekurupuka, imeumbuka’

Serikali imeingia doa. Migomo wafanyabiashara na madereva wanaoendesha mabasi ya abiria, imetikisa nchi kiasi cha kufanya wadau kadhaa kueleza kuwa nchi imekosa sifa za uongozi. Tukio la kwanza, ambalo limekuwa likijirudia linahusu wafanyabiashara ambao mara kwa mara wamekuwa wakigoma kwa…

Mahakama ya Kadhi fupa gumu bungeni

Kabla ya kuwasilishwa bungeni Aprili mosi, mwaka huu muswada wa Mahakama ya Kadhi, ulipata ugumu wa aina yake kwenye semina ya wa wabunge iliyolenga kuwaongezea ufahamu juu ya uanzishwaji wa mahakama hiyo.  Hata hivyo, kile kilichotokea kwenye semina hiyo iliyofanyika…

Udini wapasua Bunge

*Tangazo la wabunge Waislamu kukutana lavuruga *Wakristo waandaa muswada wa Amri 10 za Mungu NA MWANDISHI WETU Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekumbwa na mgawanyiko wa chini kwa chini wa udini.   Hali hiyo ilitojitokeza Alhamisi iliyopita ambako…

Wenye VVU wakubali unyanyapaa kulinda CD4

Mbali ya kifungu cha 32 cha Sheria ya Kudhibiti Ukimwi namba 28/2008 kupiga marufuku unyanyapaa, watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU) wamesema tatizo hilo bado ni kubwa.   Kutokana na hali hiyo, jamii ya wenye VVU imedai imekuwa ikilazimika…