Category: Siasa
Fuatilia matokeo ya awali ya uchaguzi Mkuu Kenya
Shughuli ya kuhesabu kura inaendelea nchini Kenya huku karibia asilimia 90 ya matokeo yaliyokusanywa kutoka kwenye maeneo mbalimbali yanaonyesha wagombea wawili kati ya Raila Odinga na William Ruto kuchuana vikali. Tume ya Uchaguzi (IECB) ina siku saba za kutangaza mshindi…
Ndugu Rais, amani kwanza mengine tutayapata kwa ziada
Ndugu Rais, lengo la maandiko yetu siku zote siyo kukosoa. Udhaifu wa kuandika kwa sababu unampenda mtu au unamchukia mtu, Mwenyezi Mungu katuepusha nao. Hatuandiki kwa ushabiki wa kumshabikia mtu au chama fulani. Wala hatuandiki hapa kwa lengo la kusifia…
Uvunjaji Chako ni Chako wageuka kitanzi DODOMA
EDITHA MAJURA Imebuka sintofahamu kubwa kutokana na uvunjaji wa jengo la Chako ni Chako mjini Dodoma, baada ya kuwapo harufu ya eneo hilo kuviziwa na “wakubwa”, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma imevunja jengo lililokuwa maarufu kwa jina…
Pingu Yaibua `Zengwe’ kwa Mtuhumiwa wa Mauaji Moshi
Na Charles Ndagulla,Moshi Hatua ya kutofungwa pingu kwa mmoja wa Wakurugenzi wa Shule ya Sekondari ya Scolastica, Edward Shayo (63), anayetuhumiwa kwa mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa shule hiyo, Humphrey Makundi imezua utata na kuhojiwa na baadhi ya mahabusu wa…
Msimamo wa AG Mpya Kuhusu Makinikia
Andiko hili ni la Mwanassheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Adelardus Kilangi. Aliliandika mwaka jana akiwa Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine, Tawi la Arusha. Dk. Kilangi kitaaluma ni mwanasheria ambaye miongoni mwa maeneo aliyobobea ni kwenye sheria za…