JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Nyundo ya Wiki

Wema Sepetu: Ipo haja ya wasanii kurudi shule, wampa tano Rais Samia

Mwigizaji na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amesema kuna haja ya wasanii kurudi shuleni, ili kuongeza ujuzi na maarifa yatakayowasaidia kuboresha kazi zao za filamu. Pia amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufikiria kufanya mabadiliko makubwa katika sekta hiyo na…

Mabadiliko tabia nchi yachangia kuua mifugo,wanyamapori Longido

Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Mabadiliko ya tabia nchi,yameua mifugo na wanyamapori zaidi ya 38,72 kwa kukosa maji na malisho, wilaya ya Longido mkoa wa Arusha. Afisa Mifugo na Mabadiliko ya tabia nchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido,Nestory Daqarro alitoa taarifa hiyo,…

NEMC yateketeza tani 44.4 ya mifuko iliyopigwa marufuku

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeteketeza vifungashio tani 44.4 ambavyo vimepigwa marufuku kwa matumizi, ambapo uteketezaji huo umefanyika katika kiwanda cha Saruji cha Twiga Cement Jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika zoezi hilo ambalo limefanyika…

Kinana apokea lundo la malalamiko ya wavuvi ziwa Victoria

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mwanza MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amepokea malalamiko 13 ya wavuvi wa samaki katika Ziwa Victoria ikiwemo utitiri wa kodi pamoja na mateso wanayoyapata wavuvi wanapokuwa ziwani ambapo yote hayo…

Serikali yaruhusu mabasi kupakia na kushusha vituo binafsi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza kuondoa katazo lililokuwa likizuia mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi kutoruhusiwa kupakia abiria au kushusha katika vituo binafsi na badala yake ameruhusu utaratibu huo kuendelea…