JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

TCCIA kuwainua vijana kibiashara

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Rais wa Chemba ya Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Paul Koyi, ametoa wito kwa vijana wanaojishughulisha na biashara kujiunga na chemba hiyo. Akizungumza wakati wa ziara yake Makao Makuu ya Kampuni ya Salim…

Wamfunda Makamu wa Rais Dk. Mpango

*Mawaziri wakuu wastaafu wamtaka asitoe matamko *Katibu Mkuu mstaafu CCM asema watampa somo vikaoni *Profesa asema ni matokeo ya kuua Kivukoni, IDM na Monduli *Jaji aonya matamko ni tanuri la migogoro, kutomheshimu Rais Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wiki…

Vigogo watafuna fidia za wananchi

TUNDURU Na Mwandishi Wetu Wananchi zaidi ya 400 wa Tunduru mkoani Ruvuma wanaulaumu Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Ruvuma kwa kuhujumu fidia walizostahili kulipwa baada ya kupisha mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami. Wananchi hao wanawalaumu…

Kesi ya Sabaya yapamba moto

ARUSHA Na Hyasinti Mchau Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, inaingia katika wiki ya mwisho ya kusikilizwa mfululizo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Odera Amuru. Tayari mashahidi kadhaa wamekwisha…


Shamte, Jussa jicho kwa jicho

ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Mwanasiasa mkongwe, Baraka Mohamed Shamte, amemtaka Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT-  Wazalendo, Ismail Jussa Ladhu, kuacha kauli za upotoshaji. Moja kati ya kauli anazodai zimetamkwa na Jussa ni madai kwamba CCM haina dhamira njema katika Serikali ya Umoja…

RITA kuondolea adha uhakiki wa vyeti

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) umewataka wanafunzi wanaohakiki vyeti vya kuzaliwa kwa ajili ya mikopo kuzingatia maelekezo ili iwe rahisi kupata huduma. Ofisa Habari wa RITA, Grace Kyasi, amelieleza JAMHURI kuwa kuna…