JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mkurugenzi MOI amfurahisha Majaliwa

LINDI Na Aziza Nangwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dk. Respicious Boniface, kwa kuwasogezea huduma za kibingwa wakazi wa mikoa ya kusini. Akizungumza katika ziara yake mkoani Lindi alikotembelea Hospitali ya St….

Maswali ajira Uhamiaji 

*Wananchi wahoji kwa nini kazi wapewe wenye ufaulu hafifu *Ni baada ya Jeshi la Polisi kuwakata vijana wenye Divisheni I na II DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Idara ya Uhamiaji nchini imetangza nafasi 350 za ajira kwa vijana waliomaliza…

Utata wa taalamu wa kigeni kukamatwa

DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Kukinzana na kugongana kwa taratibu na sheria kati ya idara mbili nyeti za serikali kumesababisha wataalamu saba kutoka nje ya nchi kufikishwa mahakamani. Kwa mujibu wa taarifa zilizolifikia gazeti hili, wataalamu hao saba waliletwa…

Corona yaua 700 nchini

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Serikali imeanza kutoa takwimu za mwenendo wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona unaofahamika kwa jina la UVIKO-19, zikionyesha kuwa watu 719 wamekwisha kufariki dunia kutokana na ugonjwa huo…

Walivyojipanga kuihujumu SGR

*Waibua hoja zilizokufa wakati wa Rais Magufuli, masilahi binafsi yatangulia *Mawaziri, makatibu wakuu wameelewa, watendaji wapingana na sheria ya ununuzi *Mkono wa Kenya watajwa katika vita ya biashara ya reli kubeba mizigo ya majirani *Yadaiwa kuna kampuni zimejipanga kushinda zabuni…

Waliofaulu vizuri wakataliwa Polisi

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Vijana wanaotaka kujiunga na Jeshi la Polisi wamelalamika majina yao kuondolewa katika orodha kwa kile wanachokitaja kuwa ni baada ya kufaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza na la pili katika mitihani yao ya…