Category: Kitaifa
Agizo la Rais Samia lawasha moto Bandari
*DG Eric asimamisha kazi wafanyakazi 13, orodha ya wahusika yatajwa Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wiki moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza watu waliohusika na ununuzi wa mifumo iliyoiingiza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika…
Washinikiza Sambi aachiwe
#Waandamana hadi Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni #Ufaransa, Ulaya, Uarabuni maelfu wasaini ‘petisheni’ NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Mamia ya wananchi ndani na nje ya Muungano wa Visiwa vya Comoro wamejitokeza kushinikiza kuachiwa huru kwa aliyekuwa Rais wa Muungano…
Bandari sikio la kufa
Kikundi chajipanga kuhujumu mabilioni kupitia mikataba, zabuni zageuzwa kichaka cha rushwa DG Eric, Mwenyekiti wa Zabuni wazima mchongo wa Sh bil. 6.34, cha juu kimeongezwa makao makuu Rais Samia afyatua waliozembea, uchunguzi mkali waanza kubaini wachotaji Ujenzi wa meli kichaka…
Mangula: Rais aungwe mkono
Akemea upotoshwaji wa masuala nyeti ya kitaifa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bara, Philip Mangula, amesema ni kawaida kwa kiongozi mahiri kuanzisha au kukamilisha miradi ya maendeleo hata iliyo nje ya ilani ya uchaguzi ya chama chake kwa…
Rais Sambi amuomba Rais Samia amwokoe
#Miaka 3 sasa amefungiwa kizuizini chumbani #Anyimwa tiba, haruhusiwi kuona mkewe, watoto #Rais Azali Assoumani kichwa ngumu, awa jeuri NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Aliyekuwa Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Ahmed Abdallah Mohamed Sambi, amemwandikia barua Rais…
‘Happy Birthday’ JAMHURI
Jana Desemba 6, 2021 ilitimia miaka 10 tangu toleo la kwanza la Gazeti la JAMHURI lilipoingia kwenye orodha ya magazeti yanayochapishwa, kusambazwa na kuuzwa ndani na nje ya nchi yetu. Desemba 6, 2011 inabaki kuwa siku muhimu kwetu waanzilishi wa…