JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Ingawa bado ni himilivu,  deni la taifa lazidi kupaa 

*Lafikia Sh trilioni 77.9 kutoka Sh trilioni 10.8 (2005), Sh trilioni 14.2 (2010), Sh trilioni 63.9 (2019) KIBAHA Na Costantine Muganyizi Mzigo wa deni la taifa umezidi kuongezeka ingawa kiasi cha takriban Sh trilioni 77.9 ambazo Tanzania ilikuwa inadaiwa hadi…

Mjue Meja Jenerali aliyefungua milango kwa wanawake JWTZ 

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Ni jambo jema kufanya kitu chenye masilahi mapana kwa nchi yako. Kama hivyo ndivyo, ninaomba tusafiri sote kupitia maandishi ya makala hii ili kumfahamu Meja Jenerali Zawadi Madawili. Madawili ni mwanamke wa kwanza hapa…

Mabilioni ya Samia yazusha hofu

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Watendaji wa serikali na halmashauri za wilaya, nyingi zikiwa ni za pembezoni mwa nchi, wamo kwenye wakati mgumu wakiwaza namna watakavyotekeleza kwa ufanisi maelekezo yaliyotolewa na Serikali Kuu, hasa kwa upande wa ujenzi wa…

Magufuli katutenda deni la taifa, trilioni 78 Samia msalabani

Na Deodatus Balile Kazi hii ya uandishi wa habari moja ya majukumu yake ni kuanika ukweli minong’ono inapotawala katika jamii.  Kwa sasa kuna minong’ono mingi. Minong’ono imeanza baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza hadharani mkopo wa Sh trilioni 1.3,…

Kusaka kupendwa kumeiumiza nchi

Jiji la Dar es Salaam, na bila shaka majiji na miji mingine, hali ya ustaarabu mitaani imerejea. Mitaa inapitika na thamani kwa waenda kwa miguu imerejeshwa. Bahati nzuri Watanzania wengi ni waelewa. Wapo waliodhani mpango wa kuwaondoa wamachinga katika maeneo…

Wageni, maofisa Tanga Cement mbaroni tena

DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Kampuni ya Tanga Cement PLC imeendelea kutoa malalamiko yake kwa Idara ya Kazi Mkoa wa Tanga baada ya wataalamu saba kutoka Afrika Kusini waliokuja kutoa mafunzo ya uendeshaji mitambo kwa wafanyakazi wao kukamatwa tena…