Category: Kitaifa
Kiswahili chaongoza ufaulu nchini
*Ni matokeo ya mitihani ya darasa la nne, kidato cha pili na cha nne 2021 DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wakati ufaulu katika somo la Hesabu kwa wanafunzi wa madarasa mbalimbali nchini ukiporomoka, somo la Kiswahili limetajwa kuongoza katika…
TEF kuwakusanya wahariri Afrika
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Wahariri wa vyombo vya habari kutoka nchi mbalimbali barani Afrika wanatarajiwa kukutana mara mbili nchini Tanzania, ndani ya miezi miwili, JAMHURI limeelezwa. Katika matukio hayo ya kihistoria, wahariri kutoka zaidi ya mataifa 10 ya…
Kisubi aliposajiliwa aliambiwa nini?
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Kuna nyakati mtu unabaki ukicheka tu kutokana na hali inavyokwenda. Kuna golikipa mmoja amewahi kunichekesha sana. Huyu ni Jeremiah Kisubi, golikipa wa Simba aliyetolewa kwa mkopo kwenda kwa wakata miwa wa Morogoro, Mtibwa Sugar…
Watoto wa mitaani kujengewa hosteli
ARUSHA Na Hyasinti Mchau Jiji la Arusha limo katika mkakati wa kukabiliana na tatizo la watoto wa mitaani kwa kujenga hosteli maalumu kwa ajili yao. Akizungumza wakati wa hafla ya kupokea eneo linalotarajiwa kutumika kwa ujenzi wa hosteli ‘maalumu’, Meya…
Shamte azungumzia kifo cha Karume
Zanzibar Na Mwandishi Wetu Wakati taifa likijiandaa kwa kumbukumbu ya miaka 50 ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Mzee Abeid Amani Karume, mwanasiasa mkongwe, Baraka Mohamed Shamte, amesema waliopanga njama za mauaji ni vigogo wa Umma Party. Anasema…
Kilichowaponza Ndugai, Kabudi, mawaziri watano
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Swali la msingi wanalojiuliza Watanzania wengi ni nini hasa kilichowaponza Job Ndugai, Profesa Palamagamba Kabudi, William Lukuvi, Geoffrey Mwambe, Profesa Shukrani Manya na Mwita Waitara? Wanajiuliza wakubwa hawa walikuwa wamesukaje mkakati ambao hapana shaka…