JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mbunge amnusuru diwani uhujumu uchumi

BUSEGA Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Busega, Simon Songe, amemnusuru Diwani wa Mkula, Goodluck Nkalango, kupewa kesi ya uhujumu uchumi. Nkalango na viongozi kadhaa wa Kijiji cha Kijilishi wanadaiwa kutorosha fedha za umma takriban Sh milioni 7.8. Mkuu wa Wilaya…

Dk. Mwinyi: Uchumi wa Buluu utaboresha sheria

Dodoma  Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi,  amesema ana matumaini kuwa iwapo dhana ya Uchumi wa Buluu itaeleweka vema kutakuwa na nafasi nzuri ya kurekebisha na kuboresha sheria na taratibu…

Mulamula: Ni muhimu Warundi kurudi kwao

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, amesema Tanzania na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) wataendelea kushirikiana katika kuwarejesha nyumbani wakimbizi wa Burundi….

Majirani waomba wavamizi  eneo la mjane waondolewe 

Na Aziza Nangwa DAR E S SALAAM Zaidi ya wakazi 1,000 wa Kijiji cha Pugu Kinyamwezi wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia jirani yao, Frida Keysi, kuishi kwa amani baada ya eneo lake kuvamiwa mara kwa mara na watu wenye…

Spika ajaye

*Msekwa asema kuna waliojitokeza kutangaza majina yao *Chenge, Dk. Tulia, Dk. Kashililah  watajwa kumrithi Ndugai DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Nani kurithi nafasi ya Spika wa Bunge baada ya Job Ndugai kujiuzulu Januari 6, mwaka huu, ni swali gumu…

UJANGILI  Bunduki yenye ‘silencer’ yatumika

*Wataalamu wasema ni kinyume cha sheria za uwindaji wa kitalii *Al Amry adaiwa pia kukiuka haki za watoto, kuwapa silaha hatari *Kesi ya rushwa aliyobambikiwa mwandishi yapigwa tarehe ARUSHA Na Mwandishi Wetu Wakati kesi iliyofunguliwa na Taasisi ya Kuzuia na…