JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

RIPOTI MAALUMU Majangili wabuni mbinu mpya

*Wavutiwa na idadi kubwa ya wajane kando ya Hifadhi ya Serengeti  *Wawatumia wajane hao, ‘nyumbantobhu’ kuhifadhi nyara, zana *Mjane ahoji; ‘kiherehere cha nini ilhali bwana wangu haibi mali ya mtu ila nyara za Serikali?’ Mara Na Antony Mayunga  Wakati serikali…

Kilio cha Rais Sambi kuachiwa charindima

NA MWANDISHI WETU Mwakilishi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Comoro ameingilia kati mgogoro wa kuwekwa kizuizini kwa Rais mstaafu wa Visiwa vya Comoro, Ahmed Abdallah Mohamed Sambi. Mwakilishi huyo, Hawa Youssouf, amemtembelea Rais mstaafu Sambi kizuizini alikowekwa kwa amri…

Vitalu vya uwindaji yale yale

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Ugawaji wa Vitalu vya Uwindaji wa Kitalii kwa njia ya kielektroniki umelalamikiwa na sasa baadhi ya wadau wenye tasnia hiyo wameshauri mnada urejewe. Wanasema kurejewa huko si tu kwamba kutakuwa ni kuwatendea haki waombaji…

CRDB inapiga hatua kila kukicha

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Benki ya CRDB imeendelea kupiga hatua kubwa za kupigiwa mfano katika sekta ya fedha nchini, na sasa inatoa huduma katika maeneo yaliyodhaniwa kuwa yanazifaa nchi za Ulaya pekee. Ukiacha kushusha riba, kujenga jengo kubwa,…

Marekani yamnyooshea kidole Mtanzania

*Yamtuhumu kushiriki ugaidi, kusambaza silaha Msumbiji CAPE TOWN Afrika Kusini Peter Charles Mbaga, raia wa Tanzania, anatajwa na Idara ya Fedha ya Marekani kama mmoja wa watu wenye uhusiano na kikundi cha kigaidi cha Msumbiji, ISIS-Mozambique. Mbaga anayefahamika pia kama…

Urusi Vs Ukraine

*Ni pambano la ‘Daudi na Goliati’ uwanjani *Urusi ina kila kitu, makombora mazito, ndege *Marekani, Uingereza zaitosa Ukraine kijeshi *Putin aandaa matumizi ya zana za nyuklia Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Hali inazidi kuwa tete nchini Ukraine na wananchi…