JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Dk. Biteko aombwa kusitisha leseni

Shinyanga Na Antony Sollo Waziri wa Madini, Dk. Dotto Biteko, ameombwa kufuta leseni ya Kampuni ya El-Hillal Minerals kutokana na walinzi wake kutuhumiwa kumuua kwa risasi mchimbaji mdogo wa madini. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, William…

UNESCO nayo yatia mkono Ngorongoro

*Wakiri hali ikiachwa hifadhi inakufa *Waunga mkono uhamishaji wafugaji *Ujangili, ulaji wanyamapori vyashamiri *Angalizo shughuli za kibinadamu latolewa NA MWANDISHI WETU ARUSHA Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limeunga mkono uamuzi wa Serikali ya Jamhuri…

‘Sniper’ wa tembo atupwa jela

*Hukodiwa kwa Sh 300,000 kuua tembo mmoja *Ni mtaalamu wa shabaha, mkazi wa Kibiti, Pwani MARA Na Mwandishi Wetu Huku akiwa bado anatumikia kifungo cha miaka mitatu kwa kosa alilokutwa nalo mwaka 2017, Karimu Musa (40), maarufu kwa jina la…

Nani mkweli kati ya GSM, Makonda?

Na Mwandishi Wetu Mgogoro wa kugombea eneo la kiwanja namba 60 kilichopo Regent Estate, Kata ya Mikocheni, wilayani Kinondoni kati ya mfanyabiashara, Ghalib Said Mohamed (GSM) na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, unazidi kufukuta baada…

Kwa sasa Urusi inapigana vita mbili

Na Mwandishi Wetu Urusi kwa sasa inaongoza duniani kwa kuwa na vikwazo vingi vya kiuchumi, nafasi inayoiweka kwenye shaka ya kuporomoka kiuchumi. Marekani na mataifa ya Ulaya wanazidi kubuni vikwazo vipya ambapo hivi karibuni wameiwekea vikwazo 2,778 na kuifanya kuwa…

Urusi balaa

*Yaendeleza ubabe Ukraine mataifa yakishuhudia *Putin atishia kutumia silaa za nyuklia, aonya vikwazo *Majeshi yake yadhibiti mtambo muhimu wa nyuklia Ukraine *Waharibu mitambo kitengo cha ujasusi, maghala ya silaha Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Urusi ni balaa. Ni maneno…