Category: Kitaifa
Kwaheri! Kwaheri! Profesa Ngowi
DODOMA Na Profesa Handley Mafwenga Profesa Honest Prosper Ngowi, mwanafalsafa wa uchumi uliyebarikiwa na Mungu, uliyebarikiwa na ndimi njema za wanazuoni waliopenda maandiko yako, na kupendezewa na ulimi wako uliotema ubora wa masuala ya uchumi, fedha, na biashara. Profesa usiyechoka,…
Urusi ngangari
*Yatikisa uchumi wa Marekani kwa ngano, mafuta *Ujerumani yakalia kuti kavu, uchumi hatarini kuporomoka *Bara la Ulaya linategemea gesi kwa asilimia 40 *Putin abadili gia, auza gesi kwa Ruble, hisa zake zapanda DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wakati Rais…
Benki yadaiwa kugeuka mumiani
*Yajipanga kuipiga mnada ‘nyumba ya Serikali’ *Ni kinyume cha vipengele vilivyowekwa kisheria *Mfanyabiashara adai mkopo wageuzwa ndoana DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Nyumba iliyokuwa ikimilikiwa na serikali imo hatarini kupigwa mnada kwa kile kinachodaiwa kuwa mmiliki wake kushindwa kulipa…
Ubalozi Marekani watuhumiwa
NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unatuhumiwa kumpunja mjane mafao yaliyotokana na kifo cha mumewe. Mjane huyo, Salome Leguna, ameushitaki ubalozi huo kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…
Huyu ndiye Rais Samia
*Anaendeleza ujenzi wa miradi mikubwa *Anaimarisha diplomasia ya uchumi *Anaboresha utawala bora, demokrasia DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza mwaka mmoja tangu aapishwe Machi 19, mwaka jana na kuanza kuongoza nchi baada ya kifo cha…
Vita ya Ukraine ni neema kwa kampuni za mafuta
Na Nizar K Visram Baada ya Urusi kuishambulia Ukraine, Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) wakatangaza vikwazo dhidi ya Urusi, lengo likiwa ni kuibana isiweze kuuza bidhaa zake kama mafuta na gesi katika soko la Ulaya na kwingineko. Urusi ni…