JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Rais Samia wekeza katika gesi

Na Deodatus Balile Wiki iliyopita nilihitimisha makala yangu kwa aya hizi: “Sitanii, ukurasa umekuwa finyu. Hili la miundombinu nitalidadavua zaidi wiki ijayo. Tunatumia wastani wa Sh trilioni 7 kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi kwa mwaka. Tunaweza kuachana na utumwa…

Hofu Vita ya Tatu ya Dunia 

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Ipo hofu ya kuzuka kwa vita ya tatu ya dunia, hali hiyo ikichochewa na matamshi ya Rais Joe Biden wa Marekani na matendo ya nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi, hasa…

Biashara bila hofu ya Urusi, Ukraine

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Watu wengi husita au hushindwa kuingia katika biashara wakitishwa na hatua zinazofahamika katika kuanzisha biashara husika, mbali na hofu iliyozuka kwa sasa ya vita kati ya Urusi na Ukraine. Hatua hizo ambazo ni sawa…

TIC yajitosa ‘uchumi’ wa gesi

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wakati mjadala kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli na bidhaa mbalimbali ukitamalaki nchini, Kituo cha Uwekezaji (TIC) kinatarajia kushuhudia kujengwa kwa vituo 12 vya kubadilisha mifumo ya matumizi ya nishati katika magari….

MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA… MOI yajivunia upasuaji  wa ubongo bila kufungua fuvu

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Kwa kipindi cha cha mwaka mmoja Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) imefanikiwa kuwafanyia upasuaji wagonjwa 165 wa ubongo bila kupasua fuvu la kichwa. Mafanikio hayo yamefikiwa baada ya Serikali ya Awamu ya Sita…

Wataalamu wazawa JKCI wafanya maajabu

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamezibua mishipa miwili inayopeleka damu kwa wakati mmoja kwenye…