Category: Kitaifa
Yametimia vigogo Dar
*Wakabidhiwa Takukuru kwa mahojiano *JAMHURI yadhihirisha umahiri wake licha ya Mkurugenzi wa Jiji kutishia kulishitaki kwa kuandika habari hiyo DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hatimaye yametimia. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwasimamisha kazi vigogo…
Rais Mwinyi azitaka manispaa Zanzibar zitafute fedha
UNGUJA Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezitaka manispaa kubadilika na kutofanya kazi kizamani na badala yake zitafute fedha kwa ajili ya miradi katika maeneo yao hasa ya mijini. Kauli…
Miaka minne ya kishindo shule za serikali
Wakati wa uongozi wa Awamu ya Kwanza chini ya Mwalimu Julius Nyerere, serikali ilijitahidi na kufanikiwa kujenga shule za msingi na sekondari kwa madhumuni ya kutoa elimu kwa vijana. Wakati huo hapakuwa na shule nyingi za binafsi kama ilivyo sasa….
Spika ataka sekta za kilimo, nishati kufungamana
LILONGWE Na Mwandishi Maalumu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amezitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kufungamanisha sekta za kilimo na nishati kupitia mikakati mbalimbali ya kukuza uchumi wanayoitekeleza. Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa 51…
Waganga wanaoomba viungo vya albino kusakwa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tabora Katika kuhakikisha mauaji ya watu wenye ualbino, watoto wachanga na vikongwe yanakomeshwa, Chama cha Waganga wa Tiba Asilia Mkoani hapa kimeazimia kuwasaka wenzao wanaopiga ramli chonganishi na kuomba kupelekewa viungo vya binadamu ili wawatengenezee dawa. Ili…
Pugu Kinyamwezi walalamikia kuvamiwa
Na Aziza NangwaBaadhi ya wakazi wa Pugu Kinyamwezi wanalia kwa kupoteza viwanja, nyumba zao na kanisa walilokuwa wakilitumia kuabudu baada ya mtu waliyemtaja kwa jina moja la Shabani na kundi lake kuwavamia mara kwa mara usiku na mchana.Wakizungumza na JAMHURI…