Category: Kitaifa
Watalii 35 kutoka Israel watua Rombo
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Rombo KIKUNDI cha Upendo Group kutokea nchini Israel kimewasili katika Wilaya ya Rombo kwa wiki mbili kuanzia Julai 26 hadi Agosti 6, mwaka huu. Pamoja na kufanya utalii, lakini kikundi hicho kitakarabati madarasa mawili ya shule ya msingi…
Serikali,TUCTA wakutana kujadili malalamiko ya nyongeza ya mishahara
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imekutana na uongozi wa Shirikisho la vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) kutokana na malalamiko ya wafanyakazi juu ya nyongeza ya mishahara ya kima cha chini. Akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kumalizika kwa kikao…
Zaidi ya Watanzania milioni 61 kuhesabiwa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tanga ZAIDI ya Watanzania milioni 61 wanakadiriwa kuhesabiwa wakati wa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi itakalofanyika Agosti 23 mwaka huu hapa nchini. Hayo yamesemwa na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Anna Makinda wakati wa…