JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Serikali yawaondolewa mzigo wakulima

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Serikali imewaondolewa mzigo wakulima baada ya kuzinduliwa kwa Mpango wa Ruzuku ya Mbolea utakaowawezesha kupata nafuu ya bei za mbolea katika msimu wa kilimo 2022/2023. Uzinduzi huo umefanywa leo Agosti 8, 2022 na Rais Samia…

Tanzania yapewa msaada wa Euro mil.10

Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani imeipatia serikali ya Tanzania msaada wa Jumla ya Euro Mill 10 sawa na Shilingi za Kitanzania Bill 23.7 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu. Hayo yamejiri leo jijini Dar es Salaam katika…

Balozi Katanga aitaka Benki Kuu kuongeza ufadhili kwa wanafunzi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Mbeya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga ameitaka Benki Kuu ya Tanzania kuongeza idadi ya wanafunzi inayowadhamini kwa masomo ya elimu ya juu kuliko, akisema idadi ya wanafunzi inaowadhamini sasa bado ni ndogo sana. Alisema hayo wakati…

TPA: Maonesho ya kilimo Nanenane ni muhimu kwa taasisi

Na Mwandishi Wetu,Jamhurimedia,Mbeya Maonesho ya Kilimo ya Nanenane 2022 yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeyayametoa fursa kwa Taasisi mbalimbali kukutana na wananchi hususani wakazi wa Mkoa wa Mbeya na mikoa ya jirani ya iliyopo Nyanda za Juu…

Treni binafsi za mizigo zatumia reli ya TAZARA ubebaji mizigo

Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia TAZARA ni kampuni ambayo inafanya usafirishaji wa mzigo kupitia mpaka wa Tunduma mkoani Songwe ambapo Zambia na DRC Congo ndiyo zenye kutumia kwa kiwango kikubwa reli ya Tanzania kwa kubeba mzigo yake mingi…