Category: Kitaifa
Siasa zenu zisiharibu uhifadhi Ngorongoro
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anashutumiwa na vyombo vya dola kwa kauli zake zinazowachochea wananchi kutotii mamlaka za nchi na sheria za uhifadhi. Akiwa wilayani Ngorongoro amewataka wananchi wanaohama kwa hiari kutotii mpango huo,…
Wananchi wa Mbarali na kata sita kawasikilizeni wagombea, mpige kura
Na Mroki Mroki, JamhuriMedia Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Septemba 19,2023 kuwa ni siku ya kupiga kura katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Mbarali na Kata sita (6) za Tanzania Bara. Tume ilitangaza uchaguzi huo baada ya kuketi katika…
Serikali yaridhia uamuzi wa Indonesia kukufua shughuli za kituo cha FARTC Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia uamuzi wa Serikali ya Indonesia wa kufufua shughuli za Kituo cha Mafunzo ya Kilimo kwa Wakulima Vijini (FARTC) kilichopo Mkindo mkoani Morogoro. Rais Samia amesema hayo leo akiwa na…
Ofisi ya Msajili vyama vya siasa yakutana na ACT – Wazalendo
Kaimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar ambaye pia na katibu wa Habari na Uenezi Chama cha ACT Wazalendo Salim Biman ameuongoza ujumbe wa chama hicho katika kikao cha pamoja kati ya ACT – Wazalendo na ujumbe wa Msajili wa Vyama vya…
Ukosefu wa dola ya Marekani waathiri bei ya mafuta nchini
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini Tanzania, EWURA, imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha, mafuta aina ya Petroli imepanda kwa shilingi 443 na dizeli ikipanda kwa shilingi 391 kwa kila lita moja kwa mafuta yanayouzwa…