JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Msanii Mrisho Mpoto apeperusha vema bendera ya Tanzania

Na Eleuteri Mangi,JamhuriMedia,Burundi Msanii maarufu katika kughani mashairi nchini Tanzania Mrisho Mpoto, maarufu ‘Mjomba’ amepeperusha vema bendera ya Tanzania Tamasha la Tano la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) nchini Burundi. Msanii Mjomba amekonga nyoyo za washiriki…

Waziri Mkuu asisitiza uadilifu ujenzi wa mji wa Serikali

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali wahakikishe wanazingatia uadilifu katika matumizi ya fedha ili uweze kukamilika kwa wakati na kwa viwango vilivyokusudiwa. Pia,Majaliwa amewaagiza Makatibu…

BRELA yashauriwa kusaidia wafanyabiashara mkoani Mara

Na Mwandishu Wetu,JamhuriMedia, Mara Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), Bw. Paul Koy ameishauri Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), kusaidia wafanyabiashara wa mkoa wa Mara ili warasimishe biashara zao. Kauli hiyo ameitoa jana alipotembelea…

‘Maafisa wa IEBC waliharakisha tangazo la mshindi wa urais kuhofia usalama wao’

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), kupitia wakili wake George Murugu imesema kuwa ilitangaza kwa ‘haraka’ matokeo ya Urais kufuatia wasiwasi wa usalama wa wafanyikazi wake. Amesema tume hiyo ilifanya uamuzi wa kutotangaza majimbo 27 yaliyosalia licha ya kujumlishwa…