Category: Kitaifa
Tanzania yapongezwa kuwa mwanachama hai wa Umoja wa Afrika
Pongezi hizo zimetolewa na Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, MMonique Nsanzabaganwa alipokutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula pembezoni mwa Mkutano wa Wanawake na Vijana katika…
Serikali yazungumzia ongezeko la bei ya mahindi, mchele
Serikali imesema kuwa matokeo ya tathmini iliyofanywa katika kipindi cha mwezi Agosti 15 hadi na Septemba 15, mwaka huu yamebainisha ongezeko dogo katika baadhi ya bidhaa za vyakula hususan mchele, mahindi, na maharage. Aidha, kupanda kwa bei za bidhaa hizo…
Kinana atamani viongozi kuitwa ndugu na sio Mheshimiwa
Na Mwandishi Wetu,Jamhurimedia,Dar Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amewahamasisha viongozi wa Chama hicho kwa ngazi mbalimbali kujenga utamaduni wa kuwatembelea na kuwatambua viongozi wa Shina, Tawi na Kata pamoja na kushiriki vikao vya Chama…
Wananchi Monduli waomba uzio kulinda vyanzo vya maji
Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Monduli Wananchi wa Kata ya Selela na Engaruka wilayani Monduli mkoa Arusha,wameomba serikali kuwasaidia kuweka uzio katika vyanzo vya maji vya asili katika maeneo yao ili visiendelee kuharibiwa na wanyamapori. Kata hizo zina vyanzo vya maji vya asili ambazo…
Rais Samia amlilia DED wa Igunga
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga (DED), Fatma Omar Latu pamoja na dereva wake.
Makinda: Sensa ya 2032 inategemea kujikosoa kwa sensa ya 2022
Kamisaa wa Sensa Anne Makinda ameeleza ,Maandalizi ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2032 inategemea mafanikio na ufumbuzi wa changamoto zilizojitokeza sensa ya mwaka 2022 ili kuleta matokeo chanya. Ameelezea kwamba,ameshukuru Sensa hii imefanywa kwa uzalendo na wananchi…