JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

CHADEMA yaitaka Serikali kutoa sababu za NHIF ‘kufilisika’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeitaka Serikali kutoa sababu zilizosababisha Mfuko wa Taifa wa Bima (NHIF) kuwa na hali mbaya ya kifedha. Hayo yamesemwa leo Septemba 20,2022 na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salim Mwalimu…

Waziri Mkuu awataka mabalozi wahamasishe uwekezaji

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali waweke msisitizo katika utekelezaji wa diplomasia ya uchumi na kuhamasisha zaidi upatikanaji wa masoko wa bidhaa za ndani na uwekezaji. Amesema kuwa maboresho ya sera na mfumo wa uwekezaji…

Waliovamia msitu wa Bondo watakiwa kuondoka

Wananchi waliovamia Hifadhi ya Msitu wa Bondo wametakiwa kuondoka ndani ya hifadhi hiyo ifikapo Desemba 30,2022. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja (Mb) kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na Utalii, alipokuwa akijibu swali la mbunge…

Ndalichako akagua mradi wa vijana,kitalu nyumba Singida

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako amekagua mradi wa Kitalu Nyumba wa kilimo cha mbogamboga na matunda wenye thamani ya Sh. 30 Milioni unaotekelezwa Manispaa ya Singiga. Akikagua mradi huo…

Mnyika:Mfumo wa vyama vingi ulitolewa kama zawadi na CCM

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Katibu Mkuu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha (CHADEMA), John Mnyika amewataka Watanzania kuendelea kupigania katiba mpya kwa sababu ndiyo mkombozi. Hayo ameyasema jijini Dar es Salaam wakati wa kongamano la maadhimisho ya siku ya…