JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Idadi ya mapato ya watalii nchini yazidi kuongezeka

Idadi ya mapato yatokanayo na utalii imeongezeka kutoka Dola za Kimarekani milioni 714.59 kwa mwaka 2020 hadi kufikia Dola za Kimarekani milioni 1,310.34 kwa mwaka 2021. Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Septemba 30, 2022 Jijini Arusha na Mwenyekiti wa Kamati…

Tanzania, India kuongeza ushirikiano sekta ya filamu

Serikali ya Tanzania pamoja na Serikali ya India zimekubaliana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano ikiwemo sekta ya filamu. Akifungua Mkutano wa Kimataifa wa Ushirikiano baina ya Tanzania na India leo Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na…

‘Viwanda vinavyotekeleza shughuli zake bila taratibu vichukuliwe hatua’

KAMATI ya Kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara na Mazingira imeitaka Serikali kuvichukulia hatua za kisheria Viwanda vyote vinavyotekeleza shughuli zake bila kufuata taratibu za kimazingira. Agizo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo David Kihenzile mara baada ya ziara ya…

Rais Samia azindua Chama cha Mawakili wa Serikali

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azindua Chama cha Mawakili wa Serikali, Nembo ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Mfumo Rasmi wa Ofisi hiyo katika Mkutano Mkuu wa Mawakili wa Serikali Jijini Dodoma