JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Jumuiya ya Kimataifa yamtangaza Rais Samia mshindi tuzo ya amani

Jumuiya ya Kimataifa na Amani imemtangaza Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mshindi wa tuzo mbili za kimataifa ikiwemo ya amani duniani 2022. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), Gaudencia Kabaka, amesema Rais Samia…

Idadi ya mapato ya watalii nchini yazidi kuongezeka

Idadi ya mapato yatokanayo na utalii imeongezeka kutoka Dola za Kimarekani milioni 714.59 kwa mwaka 2020 hadi kufikia Dola za Kimarekani milioni 1,310.34 kwa mwaka 2021. Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Septemba 30, 2022 Jijini Arusha na Mwenyekiti wa Kamati…

Tanzania, India kuongeza ushirikiano sekta ya filamu

Serikali ya Tanzania pamoja na Serikali ya India zimekubaliana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano ikiwemo sekta ya filamu. Akifungua Mkutano wa Kimataifa wa Ushirikiano baina ya Tanzania na India leo Jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na…