Category: Kitaifa
Wananchi wamiminika banda la RITA kupata huduma
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kibaha Wakazi wa Mkoa wa Pwani wamekuwa na mwitikio mkubwa wa kutembelea banda la Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali zikiwamo a vyeti vya kuzaliwa. Akizungumza na gazeti hili katika maonyesho…
Majaliwa:Watalii waongezeka nchini
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema takwimu za mwaka 2021 zinaonesha kuwa watalii wanaokuja nchini Tanzania wameongezeka kwa asilimia 48.6 kutoka watalii 620,867 mwaka 2020 na kufikia watalii 922,692 mwaka 2021. Mheshimiwa Majaliwa amesema mbali na kuongezeka kwa idadi ya watalii…
TPA yawahakikishia wadau wa madini kuwahudumia kwa ufanisi
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA imewakikishia Wadau wa Sekta ya Madini Nchini kuendelea kuhudumiwa kwa Weledi na ufanisi wakati wote wa kusafirisha nje ya Nchi au kuingiza Nchini bidhaa na malighafi za Sekta ya Madini. TPA inashiriki kikamilifu…
Tanzania yachaguliwa katika Baraza Kuu la ITU 2023-2026
Na Innocent Mungy,JamhuriMedia,Bucharest Tanzania imechaguliwa miongoni mwa nchi 48 kati ya nchi 193 wanachama wa ITU kuwa katika Baraza la Shirika la Mawasiliano duniani – International Telecommunication Union (ITU) kwa mwaka 2023 hadi 2026. Tanzania ni miongoni mwa nchi 13…
Mgombea ajiondoa kwenye uchaguzi kwa kuwaogopa wajumbe
Na Mwandishi Wetu,JmahuriMedia,Babati Mmoja kati ya wagombea wa nafasi ya uwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Babati vijijini Ezekiel Dangalo ameamua kujitoa katika uchaguzi kwa madai ya kuwa na hofu ya kushindwa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa awali. “Nimeamua…