JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

HOTUBA YA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

 

DIRA YA WIZARA:

Kuwa na uhakika wa milki za ardhi, nyumba bora na makazi endelevu kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

 

DHIMA:

Kuweka mazingira yanayofaa kuleta ufanisi katika utoaji wa huduma za ardhi, nyumba na makazi

 

Wapinzani wachekelea Pinda kugwaya

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imeeleza kufarijika na kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kampuni ya Agrisol haijapewa ardhi ya Katumba na Mishamo mkoani Katavi.

Sasa umefika wakati wa vitendo-Tibaijuka

[caption id="attachment_195" align="alignleft" width="160"]Profesa Anna Tibaijuka[/caption]Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesema kuanzia sasa inachofanya ni vitendo tu katika kukabiliana na wavunjifu wa sheria za ardhi, wakiwamo wavamizi wa maeneo yasiyoruhusiwa kujengwa.

Tibaijuka anguruma

[caption id="attachment_191" align="alignleft" width="189"]Profesa Anna Tibaijuka[/caption]*Akomesha viji-zawadi vya wawekezaji
*Wananchi kumiliki hisa kwenye ardhi
*Kigamboni kujengwa kwa trilioni 16

HATIMAYE Serikali imeridhia kufanya mabadiliko makubwa kwenye umiliki wa ardhi kwa kuwabana wawekezaji wanaojitwalia ardhi kubwa kwa kutoa viji-zawadi vidogo vidogo kwa halmashauri, vijiji na wananchi.

Dozi ya Magufuli kwa viongozi wenzake

 

Suala la Dar es Salaam ni “very complex” na mimi nataka niwe muwazi na nataka nizungumze kwa ukweli. Ujenzi wa barabara za Dar es Salaam zina matatizo sana .