Category: Kitaifa
‘Majaji ndiyo waliomtuma Lissu’
Hotuba kali ya Tundu Lissu ya kukosoa uteuzi wa majaji dhaifu uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete, imeelezwa kwamba ina baraka zote za baadhi ya viongozi waandamizi wa Mhimili wa Mahakama, JAMHURI limeelezwa.
HOTUBA YA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
DIRA YA WIZARA:
Kuwa na uhakika wa milki za ardhi, nyumba bora na makazi endelevu kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
DHIMA:
Kuweka mazingira yanayofaa kuleta ufanisi katika utoaji wa huduma za ardhi, nyumba na makazi
Wapinzani wachekelea Pinda kugwaya
Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imeeleza kufarijika na kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kampuni ya Agrisol haijapewa ardhi ya Katumba na Mishamo mkoani Katavi.
Sasa umefika wakati wa vitendo-Tibaijuka
[caption id="attachment_195" align="alignleft" width="160"]Profesa Anna Tibaijuka[/caption]Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesema kuanzia sasa inachofanya ni vitendo tu katika kukabiliana na wavunjifu wa sheria za ardhi, wakiwamo wavamizi wa maeneo yasiyoruhusiwa kujengwa.
Tibaijuka anguruma
[caption id="attachment_191" align="alignleft" width="189"]Profesa Anna Tibaijuka[/caption]*Akomesha viji-zawadi vya wawekezaji
*Wananchi kumiliki hisa kwenye ardhi
*Kigamboni kujengwa kwa trilioni 16
HATIMAYE Serikali imeridhia kufanya mabadiliko makubwa kwenye umiliki wa ardhi kwa kuwabana wawekezaji wanaojitwalia ardhi kubwa kwa kutoa viji-zawadi vidogo vidogo kwa halmashauri, vijiji na wananchi.
Habari mpya
- CCM hatucheki na mtu katika kushika dola, tumejipanga – CPA Makalla
- Waziri Ulega abatiki pazia la shindabo la Ladies First
- Zitto akiwa na mgombea nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyarugusu
- Serikali kuendelea kuiwezesha kibajeti IRDP
- ‘Sera ziguse wananchi uchaguzi mitaa’
- Askofu Mameo aisifu Afrika kutoa marais wanawake
- Wanawake jamii za asili wakutana Arusha kujadili changamoto zao
- TPA yaingiza timu nne fainali mashindano ya SHIMMUTA Tanga
- Zitto awanadi wagombea wa chama chake Jimbo la Kasulu mkoani Kigoma
- Simba yazidi kujikita kileleni
- Polisi yamsaka mmiliki wa jengo lililoporomoka Kariakoo
- Tanzania, China zasisitiza kukuza ushirikiano
- Waziri Chana aipa tano TTB kutangaza vivutio vya utalii
- Serikali kupitia Wizara ya Fedha yajivunia mchango unaotolewa na ITA
- ACT waahidi kufanikisha huduma ya maji Warumba
Copyright 2024