Category: Kitaifa
Kampasi ya Chuo Kikuu Dar kujengwa Kagera
Na Mathias Canal,JamhuriMedia,Kagera Katika kuboresha huduma za upatikanaji wa elimu kwa wanafunzi nchini Serikali imepanga kujenga Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Mkoani Kagera. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema hayo mbele ya mgeni rasmi Rais…
Tanzania, Zambia zakubaliana kumaliza migomo ya madereva mpakani
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia zimekubaliana kuimarisha mifumo ya utendaji kazi ili kumaliza changamoto ya migomo ya madereva katika mpaka wa Tunduma – Nakonde unaozitenganisha nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa leo tarehe 14…