Category: Kitaifa
Bila kudhibiti NGOs Loliondo haitatulia
Kwa mara nyingine, Loliondo imetawala kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi. Sina desturi ya kuitetea Serikali, lakini hiyo haina maana kwamba inapoamua kufanya jambo la manufaa kwa vizazi vya sasa na vijavyo, nishindwe kuitetea.
BAADA YA KUANIKA MADUDU…
Ofisi ya CAG sasa yasambaratishwa
*Naibu CAG aondolewa, Utouh atakiwa ajiandae kung’atuka
Hasira za watendaji kadhaa wa Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma na taasisi mbalimbali dhidi ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, zimeanza kuzaa matunda baada ya kuwapo mpango wa kuwang’oa viongozi wake wakuu.
Mvutano uchinjaji Mbeya
Hivi karibuni kumezuka vurugu baina ya Wakristo na Waislamu katika mji wa Tunduma mkoani Mbeya, wakigombea uchinjaji mifugo ingawa siku zote Waislamu ndiyo wamekuwa wakitekeleza jukumu hilo.
India yakubaliwa kuchimba dhahabu, almasi Tanzania
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la Serikali ya India, la kutaka kuwekeza katika sekta ya nishati na madini nchini.
Udokozi bandarini ukomeshwe
Bandari ya Dar es Salaam ni mashuhuri katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Bandari hii, kwa muda mrefu, imekuwa kitovu cha biashara kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki na Kati zisizokuwa na bandari (land locked).
Kwimba walilia maji safi
Mbunge wa Kwimba, Shanif Hirani Mansoor (CCM), amesema ameshaanza kushughulikia ujenzi wa mabwawa ya maji katika kata kadhaa jimboni humo.
Habari mpya
- Serikali yatangaza neema sekta ya madini
- Dk Biteko : Hatuna huruma tunabeba vyote
- Gachagua: Ruto sasa tunakujua wewe ni mtu wa aina gani
- Rai Dkt. Samia atunukiwa shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
- Uandikishaji ada za bima wafikia asilimia 7.4 sawa na tilion 1.24 mwaka 2023
- Wasanii 200 Songea wapata mafunzo uzalishaji filamu bora
- Shambulizi la Israel Beirut laua watu 11
- Putin: Urusi itatumia akombora jipya katika vita
- Mkurugenzi Manispaa Songea avishukuru vyombo vya habari
- Pinda ataka usawa katika malezi kupinga ukatili wa kijinsia
- Kapinga aendelea na mchakamchaka kuhamasisha kushiriki uchaguzi Serikali za Mitaa
- Ushiriki wa Rais Samia G20 wainufaisha Tanzania
- TPA kuwapunguzia gharama za uhifadhi mizigo wahanga janga la ghorofa Kariakoo
- Vijana watakiwa kuchangamkia fursa sekta ya nishati
- Michezo ya kamali marufuku Nigeria
Copyright 2024